Poems from Kraizie Naibz

Sura ya kutisha kama bawabu wa makaburi, mistari zina-miale zinatemwa kama mikuki hila usifadhaike piga moyo konde unapofika mchangani...
Na-wonder life ni type gani ya game,ni hockey,rugby ama table tennis? Ina-boast vile ni mjanja na bila mimi ni kama used tissue paper...
Nimejipata mashakani baada ya Hakimu kuniukumu maisha gerezani na majukumu ya kazi ngumu Tumeingishwa kwenye basi ambayo imetungoja pembeni...
I’m here staring on my monitor screen; my thoughts are counting five thousand miles away from my body. Everything we went through unfolding...
Nimeamua kuandika hili kuchafua akili ya wathii na hili picha Yangu ya maisha kutoka utotoni na vitu kibao zile nimepitia Furaha,karaha,...