NEVER MINE
Si ulisema mapenzi ni race
so kukimbia itakuwa easy for mh to win
nimekufanya maua hadi jina nikachange jina
nakuita rose.
sisemi nakuacha
ila kwa tabia yako nakuata
ile story ya love
imekuwa nikaa kuexplain meaning ya movie fulani
na kama ya kwangu yamekushinda
kusema 'i hate u' haitanifanya nisieat bt naeat na kugrow 8 packs
nilidhan we mtamu bila ata kukuoja nikakunickname "hunnie"
kumbe nilikosea ningekuita "mummy"
kusare nmeamua na kuwa single nadhairi
kila nikijaribu kukuwahi najipata nakuweigh
kukurank nikiweza kwa number line hupatikan
ety wew ni inifinity...
umekuwa tricky sana na kuslay kwako watesa maddady
bt nilikufunza heshima,,,,,wakija waambie
..im diabetic i dont do sugar daddy plz..
najua kwako haijawork inawaka tu......
mafisi wakikutest kwa text unaloose taste wanakuspit....
----joycoppyz--
Something wrong with this poem?
Replies are closed for this poem.
Your Poem's Voice
See what makes your poem unique — its voice, energy, themes, and the literary traditions it draws from.
Comments (0)
No comments yet. Be the first to share your thoughts.
Log in to leave a comment.