School life
Toka nijoin form one nlikuwa tiny one nlikuwa na vision ya kuwa successful after form four,siku baada ya siku nlijituma Ka mtume coz nlikuwa na bidii Ka ya mtu wa mjengo although ckuwa na muscles but sometimes nliexperience muscle pull nkiwa field.
God alizidi kunipa wisdom ya kuandika ya kuandika mistari vikali ili nifike mbali nkiwa pale silently coz ckutaka wajue ju kitu wangenishow ni venye nlikuwa najiwaste na sitafika place na hao ndio the best wa kijipiga vifua nka hawawezi pata mafua bila kujua hata jua hutua
Nilizid kukeep up coz nlikuwa nabig up na kama ni mapenzi nilieka ya wale wanipendao ju tulianzia mtandao Hadi Kwa makao na ckupenda kuletgo although some waligo ju walikuwa after madoo but me nliwashow just go coz bado nagrow
Walimu walisema Mimi ni sumbua ju nlikuwa navua wengine Kwa macho ni vile Tu hatunanga pazia but ningevumilia kama table nitend kupretend hakuna kitu nimeekelewa ju nlikuwa nmekaliwa chapati
Najua ckuwa serious na masomo but zangu mistari nilizichora Ka gari Hadi Kwa malazi nikihope itaskizwa pale ghetto ndani ya mseto ju mzazi ndio mlezi wa vipaji
I know one Day ntafikia mzazi ju mi c lazy dats why nastrive Ka mlevi kuanguka na kuamka ata ka sijui ntapatana na nini still ntapambana kabla nikule pamba ili home wapate cha kumanga ju mi cpendangi ujanja
Kwa hii lyf usione umefika ju umefika pale Twitter ukadhani we ndio bingwa wa maisha bila kujua unaeza Isha ata kuzikwa Ka mfupa learn kukumbuka kule umetoka.Shukran
👁 5💬 1
Something wrong with this poem?
Replies are closed for this poem.
Your Poem's Voice
See what makes your poem unique — its voice, energy, themes, and the literary traditions it draws from.
Comments (1)
Log in to leave a comment.